Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
We itikia tu...ukipata mimba ukatelekezwa usijelia kwa babu.
Tatizo lako babu haupo strait vitisho vingi! Mbinu za uzeeni hizifui dafu kwa Dot. Com! Mi kazi yangu ni kumlinda smile na makabaila.
 
Dah! I wish ningeweza kukugongea 'thanx'....!!
 
usimsikilize kabaila anayejiita babu...........Kimey msikilize coz anakulinda.
Mjukuu MJ1 anaweza kukueleza mengi kuhusu how deep i am on caring, uwe unawasiliana nae
Hhahahahahahhhhhhhhhhh mh babu unaniruhusu nimwambie pia how deep you are in heartbreaking? lol

You are good, very good infact excellent in caring babu yangu both kimaneno na matendo..............But sina uhakika na sustainability yake lol
 
Hapo kwenye heartbreakin hapo ndio napataka zaidi....
Na kwenye sustainability pia.....
 
...........Kwa kuwa hakuna mwenye uhakika juu ya hayo kati yetu.......Firstlady angekuwepo ndo angetoa ushuhuda kama zile "I love the whole of you" bado zinaendelea hadi leo au alikuwa katika promo
 
Hahahahahah......
Naona hapo ndio issue ya sustainability inapokuwa tata...
Maana hizo sijazisikia kabisa hv karibuni...
Labda kama zinatolewa PM!!!
 
Mjuukuu bana naona upo vere vere kumlinda Smiles
Mi nipo closer closer na watch the move...
 
Hapo sasa...........mh mwenzangu hebu tusijetolewa macho kwa umbeya..............Bigi akija hapa hakawii kutukagua makalio kwa nguvu kama adhabu.

Habari ake Babu Mkagua Bts..........Utatema vipepeoooo
 
Hahaha Babu Kimey.......... najua Smiles bado mchanga akikutana na ile Mistari ya Bigi sidhani kama atastahamili.Bigi bana mutu ingine.
Unaambiwa kwa Fl alikuwa anaimba njia nzima Arusha- Dar bila kurudia ...yaani yeye akitoa hili wakati mtoto analitafakari na kusmile mwenyewe, katupiwa jingine kali zaidi .....hadi nikamwonea wivu nikaanza kumlazimisha Babu Tineja naye aniimbie...masikini wakati sauti hana!!!
 
Hapo sasa...........mh mwenzangu hebu tusijetolewa macho kwa umbeya..............Bigi akija hapa hakawii kutukagua makalio kwa nguvu kama adhabu.

Habari ake Babu Mkagua Bts..........Utatema vipepeoooo

Hahahahahahahh.....:tape2::tape2:
 
Hahahahhahah....
Mwe jamani mnanimaliza mbavu zangu mie!!
Kumbe ndio hivyo....
 
Mjukuu taratibu usije sutwa bure maana hufichi kitu! Babu tineja aliomba pole hakupewa! Ha ha ha kweli mistari ya Big Smiles hawezi hawzi chomoka ndo maana am right here just to protect her na kumpa good direction!
 
Hhahahahahahhhhhhhhhhh mh babu unaniruhusu nimwambie pia how deep you are in heartbreaking? lol

You are good, very good infact excellent in caring babu yangu both kimaneno na matendo..............But sina uhakika na sustainability yake lol
mjukuu, you are vere vere............hasi na chanya unapata nini?
 
Hapo sasa...........mh mwenzangu hebu tusijetolewa macho kwa umbeya..............Bigi akija hapa hakawii kutukagua makalio kwa nguvu kama adhabu.

Habari ake Babu Mkagua Bts..........Utatema vipepeoooo
beibe, i luv ya.....kila nikikukumbuka natabasamu mwenyewe......hakuna kinachonipa furaha zaidi yako...ofcoz ukimuondoa bibi.
 
Manenei, Manenei..........aaah
 
beibe, i luv ya.....kila nikikukumbuka natabasamu mwenyewe......hakuna kinachonipa furaha zaidi yako...ofcoz ukimuondoa bibi.
Hahahaha........nimekumbuka zile MJ! I love you zako nyiiiiiingi............hivi ndo ulikuwa unanihonga nsisinzie eh? lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…