Wana Jf waliowahi kuvuma!

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wana bodi, Leo Nimeona tujadili Wana jf ambao walivuma Sana ila siku hizi wako kimya Sana
Tunataja Kwa Jukwaa
Jukwaa la Mmu - Lara 1
Jukwaa la wakubwa -boflo, asakuta same,
Jukwaa la elimu -lordvile, zeduduz, king rockie ATL,
Jukwaa la siasa -nguruvi, mSalani
Wengine ongezeni!
 
Jukwaa la Premium Members vvm najua wengi hamtajua kwasababu ni jukwaa la watu tunaolipia ila zetu jf
 
Wengine wamekufa
Wengine wamebadili vitambulisho
Wengine wamerudi chijijini ambako hakuna bando.
Wengine wamewowa na kuwolewa
Ukiwamisi sana mkonyeze mod mmoja atakupa taarifa za unayemuulizia kisha kiu yako itapona.
 
Kwa mfamo mmu huyo lara1 alivuma kwa kufayaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…