Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu. Ubarikiwe sana karibu sana kwenye chama mkuu. Ubarikiwe sana kaka
Hhahhahahha as per your definitionMwambie hivi, "karibu kwenye chama cha walala uchi"! {source: nduu/mamaya}
Mwambie hivi, "karibu kwenye chama cha walala uchi"! {source: nduu/mamaya}
Hhahhahahha as per your definition
Ila akaribie chama letu hili
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe
26/11/2011 nafunga ndoa rasmi.
Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona.
Kwa aliye tayari anijulishe kwa
0713-810857.
umenichekesha kweli, dah! Aje kabisa, kujiunga ni bure hakuna ada ya uanachama,wewe kipipi vp bado au tayari?