Wana jf woteee karibuni

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe
26/11/2011 nafunga ndoa rasmi.
Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona.
Kwa aliye tayari anijulishe kwa
0713-810857.
 
karibu mkuu, tupo pamoja............
 
Hongera sana mkuu. Ubarikiwe sana karibu sana kwenye chama mkuu. Ubarikiwe sana kaka
 
hongera sana mkuu, karibu kwenye chama cha wenye ndoa.
 
hongera sana mkuu na kila la heri.
 
Yap mkuu inafanyk dar mikocheni
 
Ningekuwa naishi dar ningehudhuria huku mpitimbi mbali ila kila la heri
 
all the best imma.one ningekuwa karibu ningehudhuria
 
Mwambie hivi, "karibu kwenye chama cha walala uchi"! {source: nduu/mamaya}

umenichekesha kweli, dah! Aje kabisa, kujiunga ni bure hakuna ada ya uanachama,wewe kipipi vp bado au tayari?
 
Hhahhahahha as per your definition
Ila akaribie chama letu hili

umeonaee chama la ukweli hakuna kulala na boxer, unamiliki idadi ndogo ya boxer kwa ajili ya kwenda kazini na out tu. CHAWAUTA DAIMA!
 
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe
26/11/2011 nafunga ndoa rasmi.
Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona.
Kwa aliye tayari anijulishe kwa
0713-810857.

hongera sana mwana wani,God bless U!
 
umenichekesha kweli, dah! Aje kabisa, kujiunga ni bure hakuna ada ya uanachama,wewe kipipi vp bado au tayari?

Mara nyingi huwa unapenda kusema hivyo, leo nimeona nikuwahi lol!! Hahahahaaa mi nasubiri kukiwepo na ada ndo nitakaribia, alafu kuwepo na faini ya kutoka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…