Uchaguzi 2020 Wana Kawe kataeni mateso mengine ya miaka 5

,
Your browser is not able to display this video.
 
Pascal Mayalla nyie Wasukuma ni watu hatari sana, mna ukabila na ni wabaguzi sana.
Bora kura yangu ipotee kuliko kumpa Gwajima
Unatuonea bure

Tuhuma Za Ukabila: Wasukuma Sii Miongoni Mwa Makabila Yenye Ukabila, Tatizo Ndio Walio Wengi!

Kati ya Wagombea 176 wa Kawe, kulikuwa na Wasukuma zaidi ya 40!.
Kwenye top 20 tumeingia Wasukuma zaidi ya 10!, yule No. 1 wa Kawe, Furaha Dominic ni wetu, Gwajima, Benjamin Sita, Paul Mashauri, Francis Nanai, just to mention but few!.
P
 
Kura yangu ni kwa Gwajima

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…