Uchaguzi 2020 Wana Kilombero twendeni na Victor Makinda

Mvidunda

Senior Member
Joined
May 30, 2020
Posts
122
Reaction score
170
Kwa tunaye mfahamu kijana huyu tuna kila sababu ya kujivunia tunda hili adhimu lililozaliwa na kukulia katika bonde oevu, Bonde la Kilombero, Mkoani Morogoro.

Victor Makinda ni miongoni mwa vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kusimamia jambo likaanza na hata kufika mwisho kwa mafanikio makubwa.

Kwa mfululizo wa miaka mitano Kilombero tulipata uwakilishi mbovu kabisa kutoka kwa Peter Lijualikali, kitendo ambacho kimetufanya wengi kujuta kumchagua Lijualikali aliyejawa na sifa nyingi mbaya ambaye tunathubutu kusema amelidumaza Jimbo kimaendeleo kwa miaka mitano.

Huu ni wakati wa kumchagua mtu makini, kada wa CCM mwenye uchungu wa Maendeleo ya Kilombero ili kwa pamoja tusaidiane kupeleka mbele gurudumu la maendeleo jimboni kwetu. Huyu si mwingine bali ni Victor Makinda.

Tusikosee tena uchaguzi 2020.
 
Msimsahau huyu aliyelia bungeni juzi hapa
 
Nchi ipo hapa ilipo kwa sababu ya wana CCM, mema yote unayoyafaidi, mazuri yote unayaona ni kazi ya CCM.
Mema yepi ?? Binafs ninachokijua tunataabika tu kwa ccm na serikali yke kuingia mikataba ya kifisadi
 
Kwaio Lijuakali kulialia kwote kula kama binti tayari mshamtosa??
 
Kwa tunaye mfahamu kijana huyu tuna kila sababu ya kujivunia tunda hili adhimu lililozaliwa na kukulia katika bonde oevu, Bonde la Kilombero, Mkoani Morogoro.

Victor Makinda ni miongoni mwa vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kusimamia jambo likaanza na hata kufika mwisho kwa mafanikio makubwa.

Kwa mfululizo wa miaka mitano Kilombero tulipata uwakilishi mbovu kabisa kutoka kwa Peter Lijualikali, kitendo ambacho kimetufanya wengi kujuta kumchagua Lijualikali aliyejawa na sifa nyingi mbaya ambaye tunathubutu kusema amelidumaza Jimbo kimaendeleo kwa miaka mitano.

Huu ni wakati wa kumchagua mtu makini, kada wa CCM mwenye uchungu wa Maendeleo ya Kilombero ili kwa pamoja tusaidiane kupeleka mbele gurudumu la maendeleo jimboni kwetu. Huyu si mwingine bali ni Victor Makinda.

Tusikosee tena uchaguzi 2020.
Kilombero mlikuwa mmeshaanza kupata akili na kuondokana na chama zee ccm sasa naona mnarudi kwenye lile kundi za wajinga wanaotawaliwa na ccm kwa miaka 60 sasa.
 
Aisee hilo Jua linyoeni tu. Likawe na akili siku zijazo.
 
Mema yepi ?? Binafs ninachokijua tunataabika tu kwa ccm na serikali yke kuingia mikataba ya kifisadi

Katika maisha nilichojifunza hasa kwa watz wenzangu wa huko. Waongeaji wengi kama wewe ndo wezi wenyewe. Maendeleo ya Tz. Hayatategmea vyama bali wewe na mimi kuanzia watoto kubadilika na kuwa responsible na maisha yetu. Kazi ya viongozi huwa ndogo sana kama wananchi mnajua majukumu yenu.
 
Back
Top Bottom