Wana Kiswahili hili la Trump 'kubanduliwa' limekaaje?

Kiswahili Cha Kenya hicho....mtoto anaitwa mtoi ..
 
Wakenya wanaongea kiswahili kama tuongeavyo kiingereza.

Makosa mengi saana ukifuatilia vyombo vyao vya habari. Ila mwisho wa siku lengo la lugha ni mawasiliano. Wakenya wanaelewana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…