Inaeleweka jinsi ambavo CCM imewatelekeza wanaLudewa na kuwapumbaza kuichagua wakati wote wakati haina lolote. Kwanza, Uchumi wetu umedidimia kila kukicha wakati tunazo raslimali (Chuma cha hali ya juu na Makaa ya mawe etc) vinavyoweza kuitoa Tanzania katika lindi la umaskini kwa karne hiihilo la kwanza Huyo anayejiita mbunge wa kupita bila kupingwa tayari tunamtafutia dawa ili arudi alikotoka kwa amani na sisi tumchague tunaye mtaka Tatu, Mtitu huyo siyo yule Tapeli He is a credible material.