nimeona bango limeandikwa mrs Catherine Ruhiza, ukiandika mrs ni sahihi kuandika Catherine au just mrs Ruhiza? halafu mtu anaweza kujitambulisha na kusema am mr Red Giant! unaweza kujiita mr au mpaka mtu mwingine ndo akuite?
thanx mkuu, japokuwa ni lugha tofauti kusema mr ni sawa na kusema bwana kwa kiswahili, kuna kaheshima fulani katika hayo maneno, umewahi sikia mtu anasema naitwa bwana katavi!, kufanya hivyo inaonyesha arrogance.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.