Wana lunyasi wenzangu naona wakimsajili atuumize tu

Kila nikiliangalia hili goli na nikikumbuka tarehe 16 mwezi huu natamani tusiingize timu uwanjani. Yasijekutokea ya mwaka 1991, Tukaweka mpira kwapani.
Mwaka 2008, Julio akiwa kocha wa Simba akampigia simu Chuji mchezaji wa Yanga akamuuliza, mbona hamtokei uwanjani, kuna nini?

Chuji akamwambia Julio, tumeshatawanyika kwenda majumbani, viongozi wametuambia hakuna mechi! Basi hiyo ilikuwa ni mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Kombe la Kagame (CECAFA), Simba ikakaguliwa, refa akasubiri dakika za kikanuni, akapuliza filimbi kumaliza mechi.

Simba akapewa ushindi, Yanga ikafungiwa miaka ya kutosha kushiriki michuano hiyo. baada ya hapo kukawa na uadui kati ya Yanga na CECAFA hasa Katibu Mkuu wake Nicholaus Musonye. Hivyo ndivyo Yanga ilivyoweka mpira kwapani

Soma hapa pia:


 

Attachments

  • 1680510525825.png
    51.2 KB · Views: 3
Hatarudia Kwa kimbelembele chakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mlianza nyie
 
Haiondoi hiyo kwamba waliweka mpira kwapani. Mechi za raundi walishiriki, ilipofika ya Simba wakaingia mitini na kuanza kukumbushia hela
Kutokuingiza timu uwanjani hakuitwi ni kuweka mpira kwapani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu Mbumbumbu Yanga na Simba walisha kubaliana timu zisiende uwanjani mpaka wapewe fedha Yao kwanza, Maana Yanga walikua wakidai fedha zao za ubingwa wa CECAFA walio twaa Uganda.
Vilevile walitaka mapato yatakayo patikana katika mchezo huo Simba na Yanga zipatiwe mgao kwakua mechi iyo inaingiza fedha nyingi
Katika mechi iyo Mgogoro ulikua mkubwa kati ya Yanga na Mwenyekiti wa CECAFA wa wakati uo ndugu Musonye ambaye aligoma kuwa hakikishia kulipa deni la Yanga na kupewa mgao katika kipute icho.

Yanga walitoa taarifa mapema kua wasipolipwa fedha fedha zao hawata kwenda uwanjani na Mashabiki na wanachama wajiandae Kwa ilo.
Mapema siku ya Mechi baada ya Ndugu Musonye kuwawekea ngumu Yanga, Yanga waliwaruhusu wachezaji wao wote kuendelea na shughulizao kwakua timu haitakwenda.
Simba walipo ona Yanga haiendi ika kiuka makubaliano na kuwai kuingiza timu na kupewa ushindi wa tatu.
Mwaka1985 Simba walikataa kuendelea na mchezo na kukimbia baada ya kuwa wamesha fungwa goli 1 na Omar Husen wa Yanga pale shamba la bibi, katika miaka ya 90 mwanzoni na mwishoni Simba walikimbia Tena uwanjani kwenye mechi dhidi ya Yanga.
 
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji449][emoji449][emoji449]
 
Hayo mengine yote yako sawa Ila hili la 1985, kumbukumbu zangu zinaniambia wakati SeMBe wanagomea mchezo magoli yalikua 0-0.
Mechi hii ilikuwa ni ya kuamua bingwa. SeMBe walihitaji sare ya aina yoyote, Uto lazima washinde.
Kwenye dakika ya 85 huko Uto walipata PENALTI, hapo ndipo GOLO (black man) alipoingia JAMMATINI (Indian mosque).
 
Asilimia kubwa ya kikosi Cha kwanza kilikua majeruhi,lakini 1991 Simba sababu waliyotoa eti refa kawaambia lazima wafe nne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 4 oclock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…