Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

Haya tulizoea kutokea Jiji la Nairobi.
Sasa jinamizi limehami Dar😪
 
Ghorofa la kwanza kuanguka nchini likiwa bado linajengwa ilitokea mwaka 1987 pale mtaa wa Msimbazi maeneo ya Kariakoo ambalo liliua mafundi watatu wa ujenzi huo akiwamo mtu mmoja na wapare wawili. Baadaye iligundulika kuwa injinia aliyekuwa anasimamia ujenzi hakuwa na sifa za structural engineering kabisa; alikuwa mpare mmoja fundi mwashi wa siku nyingi tu lakini hakuwa injinia.
 
"Mafundi watatu,mtu mmoja na wapare wawili"Mkuu hapa 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…