kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Tulia Ackon hajawahi kusimama upande wa umma hata siku moja Japo chombo anachokiongoza kinawakilisha sauti ya umma.
Amekua akizuia hoja zote zinazowakiliaha sauti ya umma. Yeye ndiye kapunguza mvuto wa Bunge. Juzi tu hapa kazuia mjadala wa kuteka na kwenda kuwaua watanzania usijadiliwe bungeni. Kumbuka hata huko atokako kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo.
Kuna kitu nafahamu Kuhusu mbeya. Wao hutaka mtu anayewasemea na waone kweli akiwatetea. Kwa hayo ayafanyayo tulia ajiandae kwa anguko Mbeya.
Soma Pia: Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao