Mbeya hawakuwahi kumchagua huyo na haitakuja itokee wamchagueTulia aksoni hajawahi kusimama upande wa umma hata siku moja Japo chombo anachokiongoza kinawakilisha sauti ya umma.
Amekua akizuia hoja zote zinazowakiliaha sauti ya umma. Yeye ndiye kapunguza mvuto wa Bunge. Juzi tu hapa kazuia mjadala wa kuteka na kwenda kuwaua watanzania usijadiliwe bungeni. Kumbuka hata huko atokako kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo.
Kuna kitu nafahamu Kuhusu mbeya. Wao hutaka mtu anayewasemea na waone kweli akiwatetea. Kwa hayo ayafanyayo tulia ajiandae kwa anguko Mbeya.
Akija spika mwingine nae mtasema ni wa hovyo kuwahi kutokea tangu uhuru, alikuwepo Ndugai mkaja na madai haya haya, alikuwepo Anna Makinda na Samuel Sitta mkaja na madai haya haya.Mimi pamoja na uzee wangu huu ambapo nimeangalia mabunge mengi toka utawala wa mwinyi lakini na hitimisha kusema kuwa,hili bunge la Tulia aksoni ni bunge la a hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kutokea Toka tupate uhuru
Bunge ni nini kwa Tanzania,ni sehemu ya kutetea serikali na kusahau wananchi wajimalize wenyeweMimi pamoja na uzee wangu huu ambapo nimeangalia mabunge mengi toka utawala wa mwinyi lakini na hitimisha kusema kuwa,hili bunge la Tulia aksoni ni bunge la a hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kutokea Toka tupate uhuru
Serikali ni ya wananchi, hivyo akiwa upande usio wa wananchi, anakuwa upande wa maslaha binafsiTulia Ackon hajawahi kusimama upande wa umma hata siku moja Japo chombo anachokiongoza kinawakilisha sauti ya umma.
Amekua akizuia hoja zote zinazowakiliaha sauti ya umma. Yeye ndiye kapunguza mvuto wa Bunge. Juzi tu hapa kazuia mjadala wa kuteka na kwenda kuwaua watanzania usijadiliwe bungeni. Kumbuka hata huko atokako kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo.
Kuna kitu nafahamu Kuhusu mbeya. Wao hutaka mtu anayewasemea na waone kweli akiwatetea. Kwa hayo ayafanyayo tulia ajiandae kwa anguko Mbeya.
Soma Pia: Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao
Bunge, likiwa upande tofauti na wananchi, basi linakuwa Bunge la kutetea maslahi binafsi ya wabunge na viongozi wengine wa SirikaliBunge ni nini kwa Tanzania,ni sehemu ya kutetea serikali na kusahau wananchi wajimalize wenyewe
kama sura yakeHuyo njiti ana ushetani mwingi sana
Kumbuka Nape hajatolewa ila amepelekwa kuandaai ilani ya chama cha mapinduzi,Kazi iendeleeChini ya tume hii ya uchaguzi ni ndoto za mchana Tulia kushindwa uchaguzi.
N. B rejea Kauli ya Nape iliyopelekea akatolewa kwenye uwaziri.
Asante kwa kunijuza nilikuwa sijui hilo.Kumbuka Nape hajatolewa ila amepelekwa kuandaai ilani ya chama cha mapinduzi,Kazi iendelee