Wana Mbeya mpo tayari kuburudika na Katarama?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki

Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?

Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko

Mkikataa atawaacha na machuma yenu

Mkikubali Katarama luxury atatua mbeya muda wowote

Kwa wale ambao hawajawai kupanda hii ndege ya chini waulizeni ndugu wa mwanza utamu wa hii Basi
 
Wote tunajua kua Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki

Wana mbeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?

Km wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko

Mkikataa atawaacha na machuma yenu

Mkikubali Katarama luxury atatua mbeya muda wowote

Kwa wale ambao hawajawai kupanda hii ndege ya chini waulizeni ndugu wa mwanza utamu wa hii Basi
Tunataka route ya Mbeya-Mwanza sio Mbeya-Dar.

Mbeya -Dar route ya VVIP ilimshinda Shabiby akatoa gari.

Mwisho wapi Mbeya-Kahama,Mbeya-Musoma via Bariadi?
 
Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki

Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?

Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko

Mkikataa atawaacha na machuma yenu

Mkikubali Katarama luxury atatua mbeya muda wowote

Kwa wale ambao hawajawai kupanda hii ndege ya chini waulizeni ndugu wa mwanza utamu wa hii Basi
Jini kisirani
 
Back
Top Bottom