Wana Mbeya mpo tayari kuburudika na Katarama?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki

Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar?

Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko

Mkikataa atawaacha na machuma yenu

Mkikubali Katarama luxury atatua mbeya muda wowote

Kwa wale ambao hawajawai kupanda hii ndege ya chini waulizeni ndugu wa mwanza utamu wa hii Basi
 
Tunataka route ya Mbeya-Mwanza sio Mbeya-Dar.

Mbeya -Dar route ya VVIP ilimshinda Shabiby akatoa gari.

Mwisho wapi Mbeya-Kahama,Mbeya-Musoma via Bariadi?
 
Jini kisirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…