Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
GOd save Tzd. Tumekosa, tumekosa sana. Papa mpya Mt Leo ametutaka kujenga daraja la upatanisho na watu wote.Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
GOd save Tzd, Mungu Tusamehe. Tumekosa, tumekosa sana sis wana wako. Papa mpya Mt Leo ametutaka kujenga daraja la upatanisho na watu wote.
Hii ifanyike nchi nzima kuishitaki hii serikali kwa Mungu.Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
Ngoja na wewe uje ufanyiwe maombi baada ya kupotea! 🤣🤣Dikteta wa kwanza mvaa ushungi.
Nyumbu shida sana! 🤣Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya.
Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka
Vipi utawaua au?Wauaji wanajiona wameshamaliza dunia. Nyakati inakuja watajuta na hapatakuwa na pa kukimbilia.
Mimi naelekea Goma kwenda kuchukua Tizi halafu unakaribishwa.Ngoja na wewe uje ufanyiwe maombi baada ya kupotea! 🤣🤣