Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 192
- 17
Wana MMU nilikuwa naomba maneno ya kunasua fumbo ambalo niliambiwa na msichana ambapo nilikuwa namtongoza nakunijibu kuwa "huwa hajisikii kuwa na mvulana" lakni kwa mwonekano anaonekana kuwa ana hisia na mimi.jamani nawaomba mnisaidie maana maji yako shingoni.