kama umesoma utafaulu vizuri huna haja ya kuandaa vibomu
tulia ktk chumba cha mtihani,fuata instructions vizuri tumia walau dk 25 kusoma kila swali na andika points pembeni ambazo unakumbuka
chagua swali ambalo unaona unaweza kujibu na anza nalo
stick to the points dont go arround the bush.