Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 153
- 161
Moshi yetu saafiiiiii saanaaaa
Tutalifanya zoezi letu kuwa endelevu kila mara kujenga tabia hii njema ya kuchangia damu,
Na haya ni malengo endelevu ya group kufanya mambo mbalimbali ya kijamii na baada ya uchangiaji damu tutaelekea jambo lingine bora na kubwa kwa jamii sooon tutaliweka wazi baada ya uchangiaji damu,
Lazima tuwe watu wa kati na kati kwa jamii lazima tubuni mambo yenye kugusa jamii tukiacha kuwasema viongozi wabovu kwenye uongozi wao, tunalenga kugusa kila kona ya jamii ktk mambo mbalimbali ili kusaidia jamii kuisemea na kuitendea matendo ya huruma ktk kusaidiana.
Tuna wakaribisha sanaa wana siasa wa vyama vyote,waumini dini zote, makabila yote na hadhi zote za kimaisha na kivyeo ktk mambo ya kujenga na kusaidia jamii yatakayo kuwa yakiendeshwa na moshi yetu group tusijiweke nyuma kwenye mambo ya msingi tuweke pembeni itikadi na mirengo yetu sote tuwe wamoja kwenye program mbalimbali zitazokuwa zikiendelea humu.
Asanteni sanaaa na karibuni sana kuchangia damu tar 08/06/2024.
Nimeituma kama ilivyo