moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Jamani, mweeee wana msimbazi mnatia huruma, Jana ilikuwa siku ngumu sana kwenu.
Sababu zilizopelekea siku iwe mbaya kwenu ni:
Kunyang'anywa points za mezani mlizo tunukiwa baada ya kufungwa na kagera sugar 2-1
Kufungia kwa mtoa povu wenu Haji manara pamoja na kutozwa faini ya ml.9
Hizo sababu mbili zinatosha kuwaandamanisha...tafadhali msiniangushe andamaneni.