wana ndoa au wenye uzoefu

ukweli mtupu huo
 
sas hata mke akiwa pm bado wanafanya? maswali mengine jamani.

Kwani ukifanya inadhuru? Ni utamaduni tu watu wamejiwekea.

Lakini kuna wengine wakiwa huko ndo wanapenda sana
 
wewe mtoto hii kitu ni automatic mambo ya ratiba yanatoka wapi?
Hivi kama ratiba ni Ijumaa na hiyo ndo Jtano unahamu ya menu unasubiri Ijumaa :hand:

Mambo mengine siyo ya kusikia, huwa ni kuingia na utakachokikuta humo ndo hicho hicho. ratiba inatoka wapi sasa? hayo mambo yanaenda kwa feelings, siyo kuanza tu sababu leo ni zamu..............................
 
vitu viwili tofauti.
 
Aah bwana mkubwa umewasili? kuna binti anataka kujua kama anatakiwa kutoa ile kitu kila siku akishaolewa ushauri wako muhimu hapa kumtoa uoga.

Aje kwanza nimpe uzoefu praktikale. Pafomensi yake kwenye infidelity itanifanya nijue anaweza kumegwa mara ngapi kwa wiki, na mtarimbo wenye saizi gani (manake naamini hata hili muda si mrefu tutaulizwa tumpe ushauri) na apigwe bao ngapi kwa usiku mmoja siku mvua ikiwa inanyesha na kipindi cha joto kali...:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Yeye hataki mechi za nje anaongelea ndani ya ndoa Alaaji Alaaji inabidi kila siku?
 
watu kwa kukwepa uzee jamani,yaani unajitahidi kuuficha uzee wako na kujidai damu changa! sasa wewe utampeleka mtu mpaka round ngapi kama hutafuti kufia kifuani?
 
Mambo mengine siyo ya kusikia, huwa ni kuingia na utakachokikuta humo ndo hicho hicho. ratiba inatoka wapi sasa? hayo mambo yanaenda kwa feelings, siyo kuanza tu sababu leo ni zamu..............................

kuna mambo yanafurahisha kwa kweli, ratiba na haya mambo ni kifo na ucngizi.
 
Rose dont apply those laws to your own husband or boyfriend, you will be finished. Hivi kweli kikawaida kuna sehemu wanapanga ratiba? hata maofiisni tuna reminders tu siyo kwamba ni ratiba. Hata mashuleni (secondary hakuna ratiba kama zako Rose) be carefu. keep it as utani dont make it real.

Golder, hakuna sheria ya ndoa inasema hivyo, unless wewe na mumeo mnaweza kufanya maamuzi kwamba iwe kila siku iendayo kwa Mungu au isiwe. hizi habari za vijiweni achaneni nazo, zinawapotosha nyie ambao hamjawahi kuoa au olewa. Good news is this, hakuna kitu kitamu maishani kama ndoa, mlilie Mungu akupe mume/mke mwema muelewane, sameheaneni pale mambo yanapoenda tofauti na mlivyotaka, shirikianeni kwa kila jambo.

watu kwa kukwepa uzee jamani,yaani unajitahidi kuuficha uzee wako na kujidai damu changa! sasa wewe utampeleka mtu mpaka round ngapi kama hutafuti kufia kifuani?
Nani alikudanganya ng'ombe anazeeka maini? hebu kamuulize Jacob Zuma au mtaalam King Mswati!
 
watu kwa kukwepa uzee jamani,yaani unajitahidi kuuficha uzee wako na kujidai damu changa! sasa wewe utampeleka mtu mpaka round ngapi kama hutafuti kufia kifuani?

Luv, hivi unaufahamu umri wa 'kaka' Asprin aka ODM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…