wana ndoa au wenye uzoefu

Carol unadhani Rose hapo ako serious? anatuzuga tu hapa...
 
Yeye hataki mechi za nje anaongelea ndani ya ndoa Alaaji Alaaji inabidi kila siku?

Sasa tutamshaurije kabla hatujajua uwezo wake? Anahitaji mtarimbo wa size gani? Anahitaji speed ipi? Dozi ngapi? Hiyo nayo ina mata....na hili nalizungumzia kwa uzoefu wa miaka kumi....!
 
watu kwa kukwepa uzee jamani,yaani unajitahidi kuuficha uzee wako na kujidai damu changa! sasa wewe utampeleka mtu mpaka round ngapi kama hutafuti kufia kifuani?

Huyu sister anataka kujua akiingia kwenye ndoa inamlazimu kila siku? mambo ya infidelity hataki kusikia kawatolea nje Finest,Bacha & co subiri usikie jibu atakalopewa Aspirin.
 
Sasa tutamshaurije kabla hatujajua uwezo wake? Anahitaji mtarimbo wa size gani? Anahitaji speed ipi? Dozi ngapi? Hiyo nayo ina mata....na hili nalizungumzia kwa uzoefu wa miaka kumi....!

Vijana wako Finest na Bacha wameshindwa kumuelewesha sijui wewe.
 
Luv, hivi unaufahamu umri wa 'kaka' Asprin aka ODM?

Hahahaha! hommie anarefer miaka kumi ya ndoa then anapiga makalkulesheni akilinganisha na umri wa mumewe alipomuoa.....ukienda vizuri utakuta big braza ODM ana miaka kama 48 hivi..... bado si kijana huyo? Hahahaha!
 
Luv hebu angalia hapo chini....cheti chake cha kuzaliwa atakuwa kachakachua ili umri uwe mdogo eehh...

lakini kwa uzoefu mtu kwenye 40 ndo yuko on fire so big braza ODM yuko fiti sana kwenye kutoa mafunzo haya......njoo mama wa Bulyankulu Golder upate mafunzo mwanana (mwenyekiti nimeidhinisha):tonguez:

ndio luv, kakangu nitaacha kujua umri wake..anakamatia 60's(ucmwambie mtu hapendagi kabisa watu wajue)

Hahahaha! hommie anarefer miaka kumi ya ndoa then anapiga makalkulesheni akilinganisha na umri wa mumewe alipomuoa.....ukienda vizuri utakuta big braza ODM ana miaka kama 48 hivi..... bado si kijana huyo? Hahahaha!
 
Nafikiri wanajidili jinsi ya kuepuka some aspects za infidelity.....:confused2::confused2:

Ivoeeh...thank so much......(check ur Pm)

The Following User Says Thank You to Smiles For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
Huyu sister anataka kujua akiingia kwenye ndoa inamlazimu kila siku? mambo ya infidelity hataki kusikia kawatolea nje Finest,Bacha & co subiri usikie jibu atakalopewa Aspirin.

The Mighty Biggie Asprin ....The experienced! ODM! Hapa ushauri lazima aukubali...otherwise hebu mpeni kontakti zangu nimpeleke kwa mama matesha akafundwe...!
 
u'r very rite Smiles!

wewe ngoja niπŸ˜›hone:πŸ˜›hone:halafu tu:bathbaby::bathbaby: usipoπŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers::bounce::bounce::banplease:
 
Hahahaha! hommie anarefer miaka kumi ya ndoa then anapiga makalkulesheni akilinganisha na umri wa mumewe alipomuoa.....ukienda vizuri utakuta big braza ODM ana miaka kama 48 hivi..... bado si kijana huyo? Hahahaha!

😑
 
wewe ngoja niπŸ˜›hone:πŸ˜›hone:halafu tu:bathbaby::bathbaby: usipoπŸ˜›reggers:πŸ˜›reggers::bounce::bounce::banplease:
kaizer bana, infii 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…