Ni ukweli usiopingika kwamba mke na mume ndani ya nyumba baada ya muda mrefu kuishi pamoja mnakuwa katika hali ya kuzoeana kiasi cha kutokuwa na kutamaniana mara kwa mara,japo bado mnapendana. hii inafanya tendo la ndoa mara nyingine liwe sio kitu cha lazima sana halifanyiki mara kwa mara au linafanyika mara moja kwa siku au kila bada ya siku kadhaa, lakini wanaume wengi wanapotoka nje ya ndoa zao, hali kadhalika wanawake wengi wanapokua nje ya ndoa zao mambo huwa tofauti na nyumbani wanaweza kwenda hata mara 3 -4 bila malalamiko kwa masaa machache, Hv kwaa wastani wanandoa ya muda mrefu namuda mfupi ni marangapi inatosha mke kuwa na muwewe kwa kila siku ili kutoshelezana?