Wana Ndoa mara ngapi inatosha?

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Ni ukweli usiopingika kwamba mke na mume ndani ya nyumba baada ya muda mrefu kuishi pamoja mnakuwa katika hali ya kuzoeana kiasi cha kutokuwa na kutamaniana mara kwa mara,japo bado mnapendana. hii inafanya tendo la ndoa mara nyingine liwe sio kitu cha lazima sana halifanyiki mara kwa mara au linafanyika mara moja kwa siku au kila bada ya siku kadhaa, lakini wanaume wengi wanapotoka nje ya ndoa zao, hali kadhalika wanawake wengi wanapokua nje ya ndoa zao mambo huwa tofauti na nyumbani wanaweza kwenda hata mara 3 -4 bila malalamiko kwa masaa machache, Hv kwaa wastani wanandoa ya muda mrefu namuda mfupi ni marangapi inatosha mke kuwa na muwewe kwa kila siku ili kutoshelezana?
 
Swali lako ni sawa mtu aulize

tunatakiwa kula chakula au maji mara ngapi kwa siku....au kwa wiki.....
 
Mkichokana ni mara moja kwa wiki tena basi kagoli kamoja lakini kauhakika kasiko na malalamiko.
 
As much as u both desire and agree!! hakuna kuhesabiana... cha muhimu ni kuelewana na kumfikiria mwenzio, usimnyime mwenzio wala usimforce mwenzio.. sasa ishu ni pale ambapo mmoja anakuwa ye mara zote hana mizuka!!
 
Wataalamu wa mapenzi wanasema kuwa nyege ni kunyegezana na kama maridhiano hayapo pandezote mara zote huwa ni tatizo mara nyingi mwanaume anataka hata pasipo ridhaa ya mwenzie anaamua kulazimisha hii ni sawa sawa na kubaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…