Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi wewe jua tuu! Idadi ya walio jiandikisha ni feki, na idadi ya walio piga kura ni feki hivyo takwimu zote ni fekiWana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi.
CCM imepata ushindi wa kishindo
Ndiyo maana mtaendelea kuwa mafukara siku zote na CCM yenu sababu ya ujinga wenuWana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi.
CCM imepata ushindi wa kishindo
Ni haya mafisadi machacheKifupi wewe jua tuu! Idadi ya walio jiandikisha ni feki, na idadi ya walio piga kura ni feki hivyo takwimu zote ni feki
Kituo x walio jitokeza kujiandikisha kihalali ni 103 lakini walio andikwa kwenye daftari ni 457 , lakini pia kituo hicho hicho x siku ya kupiga kura walio jitokeza kihalali kupiga kura ni 31 lakini matokeo ya uchaguzi yanaonesha walio jitokeza kupiga kura ni 453 na kura za ndiyo 450 kura za hapana 2 na iliyo haribika 1
Nitashangaa sana kumuona mwana CCM anaushangilia eti huo nao ni ushindi wa kishindo, yani ni kujitia kidole mwenyewe na kujinusa.
Punguza mihemukoCCM ni shetani ambaye hitarajii kupata chochote kupitia hiki Chama Cha Mashetani. Kwao hata uchaguzi ni maigizo. Umeengua wagombea wote, ikitokea umebakiza wachache, umawafukuza mawakala wao wakati wa majumuisho ya kura, halafu unasema eti CCM imeshinda kwa kishindo!! Halafu na wewe unayeambiwa unaamini na kutoka barabarani ukisema CCM imeshinda kwa kishindo!!.Wewe una akili au ni mwendawazimu?