Wana Njenje

Wana Njenje

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,521
Reaction score
1,906
Wakuu samahani naulizia mawasiliano na wananjenje nina issue nataka kujadiliana nao. Kama kuna mtu anafahamu simu ya kiongozi wao ama mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo basi naomba anisaidie. Vile vile kama unafahamu wanapopatikana hapa Dar Es Salaam utakuwa msaada pia ukinijulisha.

Natanguliza shukrani,

Nyati
 
wakuu samahani naulizia mawasiliano na wananjenje nina issue nataka kujadiliana nao. Kama kuna mtu anafahamu simu ya kiongozi wao ama mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo basi naomba anisaidie. Vile vile kama unafahamu wanapopatikana hapa dar es salaam utakuwa msaada pia ukinijulisha.

Natanguliza shukrani,

nyati

071-378-7878
 
Back
Top Bottom