Uchaguzi 2020 Wana Nyamagana

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
4,236
Reaction score
5,907
Nikiwa Kama mzaliwa wa Mwanza hususani Jimbo la Nyamagana niwaalike wananyamagana wenzangu tujadili 2020 ndio hii hapa inakuja huku jimbo letu haliko na mwakilishi bungeni utazani nae kaunga mkono utekwaji ninao watu wa 2 ambao mwenyewe naona wanaweza kuivusha nyamagana yetu

1 Ezekiel Dibogo Wenje huyu wengi mtakua mnamkumbuka namna alivyokua machachali bunge la 10

2 Mwl JONH Pambalu huyu ni Diwani wa Kata ya Butimba ni kijana ambae kiukweli yuko vizuri hawa ote ni kizazi cha m4c hebu wananyamagana wenzangu tuwachambue ili tuone nani mwenye kuweza kutuvusha kwani bwana Sitansiraua Shingoma Mabula Kama ilivyotalajiwa kachemka
 
Hao watanunuliwa kama waitara hawana uwezo wa kifedha.....bora mtafute mtu mwenye pesa na heshima sio hao walala hoi kama raia wengine
 
Hao watanunuliwa kama waitara hawana uwezo wa kifedha.....bora mtafute mtu mwenye pesa na heshima sio hao walala hoi kama raia wengine
Juu ya hilo nakataa KAMANDA maana nawafaham vizuri Hawa ni Chadema kwelikweli ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…