wana Rorya twende na namba tatu kama mbunge wetu Bunge lijalo

wana Rorya twende na namba tatu kama mbunge wetu Bunge lijalo

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nawashauri Ndugu zangu Wana Rorya twende na Namba Tatu (Ndugu Kiboye) awe Mbunge wetu kuanzia Bunge lijalo. Namba Tatu ni jasiri na haogopi. aliyepo naye amekula vya kutosha sasa ni zamu ya mwingine. Kama Mhe. Rais ndo analeta fedha kwenye majimbo ya uchaguzi ni vema sasa Mhe, Jaffari amuachie na mwingine kwa sababu fedha zote Mhe. Rais ndo analeta,

Namba Tatu japo siyo msomi sana lakini uelewa wake ni mkubwa sana na huyu ni dume full.
 
Huyu nimewahi kukutana nae pale Tarime jamaa ana mikwara amebeba sim kibao angekuwa sio mropokaji angekuwa mwanasiasa mzuri mtu.
 
Back
Top Bottom