Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

Pia alikuwepo Mwl. Elifuraha, tulizoea kumwita BALBU, sijui atakuwa wapi siku hizi?
 
Pia alikuwepo Mwl. Elifuraha, tulizoea kumwita BALBU, sijui atakuwa wapi siku hizi?

Yaah, namkumbuka Gambo, Bulb, Buga, Bogoz (mwanahistory), Igosh, Kekondo, wawa, Msela (Raphael) na mr. Matu (headmaster miaka hiyo ya 90). Naikumbuka chaka na mwabaruhi. Vipi waroko!!
 
Yaah, namkumbuka Gambo, Bulb, Buga, Bogoz (mwanahistory), Igosh, Kekondo, wawa, Msela (Raphael) na mr. Matu (headmaster miaka hiyo ya 90). Naikumbuka chaka na mwabaruhi. Vipi waroko!!

teh teh.
mnamkumbuka Dingi (aka Msirikale) na Nkuyege wote wanatalum ya kiswahili. nilitoka pale O-level 93. jamani mnaikumbuka Bukumbi sec na Bwiru girls?
 
Jamani eeh!! Buzinzira nimemwona.Ni afisa ugavi chuo cha VETA Mikumi. Halafu kuna dogo mmoja mnilamba anaitawa Benjamini Itambu naye yupo hapo hapo ni mhasibu.
 
Kila aliyepita singa, he is proud of the school,nakumbuka mgomo wa 2002, mpaka riafande moja likajeruhiwa, nakumbuka Mr kamungo akifundisha Integration(math), and phy, sijaona mwalimu kama yeye!!!, Elifuraha alisha staafu yuko dar sikuhizii, yule jamaa wa kiinglish cha ajabu(magambo) bado yupo, nilimwona juni last year nilipofuatilia cheti changu.
big up to all singer boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…