Nimekwambia Simba hawajafikia hata kunyang'anyana wachezaji na timu kama Al Ahly au Hororya. Wala sikusema Hororya kunyang'anyana wachezaji na Al AhlyHoroya imenyang'anyana mchezaji na Al Ahly lini mkuu ?
Horoya ni selling club kama ilivyo Yanga, Gor Mahia, Namungo, Azam na Ruvu shooting.
Kwanza wachezaji wa Horoya asilimia 80 ni raia wa Guinea Conakry.
Horoya unajua uwezo wake wa kifedha ?Nimekwambia Simba hawajafikia hata kunyang'anyana wachezaji na timu kama Al Ahly au Hororya. Wala sikusema Hororya kunyang'anyana wachezaji na Al Ahly
Si ndo mlipokuwa mna ndoto napo na nusu fainali huko CUF au maana huku CAF hampawezi bora mpambane huko huko CUF[emoji16][emoji851]We tomboy kashabikie taarabu cuf ndo nini
Atajuta akija
Simba kuishi kwa historian badala ya kukubali kuwa timu imeshuka kiuchezajiIwe kweli au uwongo kinachokuumiza sana we kichwa nini?
Kinacho muumiza sana ni kusema kwenu uongo! Yaani upotoshaji wenu!Iwe kweli au uwongo kinachokuumiza sana we kichwa nini?
Na wewe kwa kitendo cha kujibu hilo, inaelekea umeshaingia kwenye mtego tayari. Unawezaje kulinganisha mechi za awali tu wakati upangaji wa ratiba is a random process?ze-dudu pamoja na Chaos Master na wengineo msijidanganye kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita kwa kulinganisha mechi nne za awali.
Hata sisi wachaga tunajua kuwa siri ya utajiri ni ubahili.Hizo tetesi tu, hata hivyo ikumbukwe kuwa Mo hatochukua kocha wa kuwalipa gharama kubwa. Angekuwa ni mtu wa hivyo basi tungeona akinyang'anyana wachezaji na akina Al Ahly, Hororya, wydad Casablanca, n.k ila tunamjua ni mwekezaji mbahili.