Wana Simba nawashauri msiingie mechi za utopolo, wamejiapiza kulipa kisasi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani. Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo, maana sasa hivi TAKUKURU wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.

Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua. Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka. Angalie wasikupasukie uwanjani.

Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari, hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu. Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi.
 
Rekord zinaonyesha Mashabiki wa Yanga ndio walioanza hiyo tabia, hivyo wa Simba ndio waliolipa kisasi. Hadi sasa ni ngoma droo na ugomvi umeshaisha

  • Mechi ya Polisi Tz vs Yanga - Shabiki wa Simba alichaniwa Jezi
  • Mechi ya Mtibwa vs Yanga - Yule shabiki wa Simba (Big) alikula kichapo pale Jamhuri stadium.
  • Pia hapa kwa Mkapa kuna mashabiki wa Simba walipigwa na kutolewa uwanjani na mmoja alichaniwa Jezi hadi 'Mo' aliamua kumtafuta na kumpa Jezi nyingine
 
Kwanza Tanzania n nchi ya ajabu ambayo haina utaratibu wa jinsi ya mashabiki wanapaswa kukaa unakuta wote wanachanganyikana wangetakiwa mashabiki wa timu A upandee huu wakae,mashabiki wa timu B upande huu n wake
 
Rekord zinaonyesha Mashabiki wa Yanga ndio walioanza hiyo tabia, hivyo wa Simba ndio waliolipa kisasi. Hadi sasa ni ngoma droo na ugomvi umeshaisha

  • Mechi ya Polisi Tz vs Yanga - Shabiki wa Simba alichaniwa Jezi
  • Mechi ya Mtibwa vs Yanga - Yule shabiki wa Simba (Big) alikula kichapo pale Jamhuri stadium.
  • Pia hapa kwa Mkapa kuna mashabiki wa Simba walipigwa na kutolewa uwanjani na mmoja alichaniwa Jezi hadi 'Mo' aliamua kumtafuta na kumpa Jezi nyingine
Nawengine walivunja viti mechi ya derby.
 
inashangza kuona local teams znacheza af mshabik local unatok nyumbni n jersey ya timu C kwend uwanjan kushangilia timu A iifunge timu B!
 
Nawengine walivunja viti mechi ya derby.
Kuvunja viti hizo ni fujo zisizoumiza mtu. Ni viti tu ndio vinavunjika kisha refa wa michongo anafungiwa na Viti vinanunuliwa vingine.
 
Ukivunja viti halafu uvirushe randomly kwenye kundi la watu useme haviwezi kudhuru watu?

Na kwanini mvunje viti na msimvunje huyo referee wa mchongo?
 
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.

Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua.Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka.Angalie wasikupasukie uwanjani.
Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari.Hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu.Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi
Upepo umekatikia wapi?
 
Rekord zinaonyesha Mashabiki wa Yanga ndio walioanza hiyo tabia, hivyo wa Simba ndio waliolipa kisasi. Hadi sasa ni ngoma droo na ugomvi umeshaisha

  • Mechi ya Polisi Tz vs Yanga - Shabiki wa Simba alichaniwa Jezi
  • Mechi ya Mtibwa vs Yanga - Yule shabiki wa Simba (Big) alikula kichapo pale Jamhuri stadium.
  • Pia hapa kwa Mkapa kuna mashabiki wa Simba walipigwa na kutolewa uwanjani na mmoja alichaniwa Jezi hadi 'Mo' aliamua kumtafuta na kumpa Jezi nyingine
Mashabiki kupigana ni utoto na aibu.
 
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.

Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua.Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka.Angalie wasikupasukie uwanjani.
Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari.Hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu.Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi

Dogo mbona hueleweki! Nani anataka kukupiga? Naona unalia lia tu.
 
Ishu ni kwamba kila Mshabiki akae ipande wake.
Unaenda kukaa kwa wapinzani mjezi wako wa Yanga.
Simba inafungwa unaanza kuwazomea na kuwakebehi.
Ni lazima watakudunda tu iwe kwa Simba au Yanga.

Kaa upande wako kama una mihemuko
 
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.

Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua.Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka.Angalie wasikupasukie uwanjani.
Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari.Hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu.Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi
wewe acha bangi, umetumwa na nani?
 
Mfumo wa kishabiki Tanzania ni wakipekee sana.

Sisi ni watu wa sayar nyingine kabisa.

Timu yako haichezi,unaenda uwanjani na na jezi afu unaishabikia timu pinzani.

Ukiwa kama mgeni inakubidi utulie tu. Tazama boli urudi ukalale.
 
Mbona maeneo mengi tu amani ipo tele.

Huku Arusha huwa naenda maeneo tofauti kuangalia mengi Watu wanataniana sana na wala hakuna kushikana mashati.

Kuna Baa moja maarufu wametenga upande wa Simba na Yanga hivyo Mtu akitibuka, haswa awe wameshinda, ataenda upande wa pili anabwata mpaka anachoka mnamuangalia tu na hakuna vurugu.
 
Back
Top Bottom