Nawengine walivunja viti mechi ya derby.Rekord zinaonyesha Mashabiki wa Yanga ndio walioanza hiyo tabia, hivyo wa Simba ndio waliolipa kisasi. Hadi sasa ni ngoma droo na ugomvi umeshaisha
- Mechi ya Polisi Tz vs Yanga - Shabiki wa Simba alichaniwa Jezi
- Mechi ya Mtibwa vs Yanga - Yule shabiki wa Simba (Big) alikula kichapo pale Jamhuri stadium.
- Pia hapa kwa Mkapa kuna mashabiki wa Simba walipigwa na kutolewa uwanjani na mmoja alichaniwa Jezi hadi 'Mo' aliamua kumtafuta na kumpa Jezi nyingine
Kuvunja viti hizo ni fujo zisizoumiza mtu. Ni viti tu ndio vinavunjika kisha refa wa michongo anafungiwa na Viti vinanunuliwa vingine.Nawengine walivunja viti mechi ya derby.
Ukivunja viti halafu uvirushe randomly kwenye kundi la watu useme haviwezi kudhuru watu?Kuvunja viti hizo ni fujo zisizoumiza mtu. Ni viti tu ndio vinavunjika kisha refa wa michongo anafungiwa na Viti vinanunuliwa vingine.
Upepo umekatikia wapi?Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.
Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua.Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka.Angalie wasikupasukie uwanjani.
Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari.Hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu.Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi
Mashabiki kupigana ni utoto na aibu.Rekord zinaonyesha Mashabiki wa Yanga ndio walioanza hiyo tabia, hivyo wa Simba ndio waliolipa kisasi. Hadi sasa ni ngoma droo na ugomvi umeshaisha
- Mechi ya Polisi Tz vs Yanga - Shabiki wa Simba alichaniwa Jezi
- Mechi ya Mtibwa vs Yanga - Yule shabiki wa Simba (Big) alikula kichapo pale Jamhuri stadium.
- Pia hapa kwa Mkapa kuna mashabiki wa Simba walipigwa na kutolewa uwanjani na mmoja alichaniwa Jezi hadi 'Mo' aliamua kumtafuta na kumpa Jezi nyingine
Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.
Kama mjuavyo hawa jamaa wameshadanganywa kuwa wao ni mabingwa na wamemwamini msukule wao waliyemchukua.Sasa huku kuvimba kwao wanakaribia kupasuka.Angalie wasikupasukie uwanjani.
Mkienda uwanjani nendeni kwa tahadhari.Hawa jamaa wanaweza kuumiza mtu.Washabiki wao wengi ni wahuni na watoto wa vizee vichawi
wewe acha bangi, umetumwa na nani?Hawa jamaa mnajua wameshaanza kukata upepo uwanjani.Ni suala la muda tu wataanza kuchezea vichapo.Maana sasa hivi Takukuru wanafuatilia kwa karibu michezo michafu ya GSM kwa hiyo anapata shida kununua mechi.