Wana Simba njooni hapa tumkumbushe mapema Vunjabei

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Vunjabei, tunaheshimu sana uwekezaji wako kwa timu yetu pendwa ya Simba, a.k.a team ya wenye akili. Naomba tukukumbushe kuwa, uzinguaji ulioufanya misimu miwili iliyopita imetosha. Masuala ya kutuletea kadi za Krismasi tar 06/01 asee msimu huu usirudie. Season iliyopita siku ya Simba day ulizingua ukaleta mzigo kidogo na lot of excusses!

Hapo tukajua kweli kuna issue ya kubadili mdhamini ilikutinga, haya jezi za Club Bingwa nazo ukazingua wakati ratiba nzima unayo, kama hauwezi waachie wengine.

Suala jingine ni kuhusu kututengenezea jezi ka matambala ya kudekia, asee hatutaki. Rangi zetu ukiangalia huko duniani ni rangi nzuri na wanatengeneza uzi mkali. Designers wako waambie mapema wabadilike kabisa, waige basi hata kwa Man U au Arsenal basi.

Sio mijezi inakuja na maalama ka imenyewa na bundi. Upo na option 3, kwanini usitoe kitu murua? 3rd kit ya mwaka jana aisee, kama fundi Maiko wa kiwanda cha Rangi? Hapana!

Ni ushauri tu, ila sie wateja wako ukitusikiliza utapiga business nzuri sana. Cheza na Demand, Time na Supply.

Once a Lion, die a Lion[emoji881].
 
MB.MB.MB mataahira
 
Vunjabei anajulikana kuwa ndo muuza lonya maarufu hapa nchini , utakuwa mwehu kama utataka akuletee bidhaa quality , kimsingi Simba ndo hawana akili Kwa kumpa kazi ya kuleta bidhaa quality wakat
yeye Vunjabei amejitanabaisha since day one kuwa ni muuza lonya
 
Vunjabei siyo mwekezaj, ni mfanyabiashara aliyepata tenda ya kutengeneza jezi ila kwa ubabaishaji aliouonyesha nitashangaa kama watamwongezea mkataba
Hii nchi kila kitu kinawezekana...akipenyeza ndululu tu, tunarudi kule kule...halafu yule jamaa si ni mkinga?
 
Lonya...[emoji38] tuna balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…