Wana Simba njooni hapa tumkumbushe mapema Vunjabei

Niko hapa Kumtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa leo...

Happy Birthday Fred Vunjabei
 
Vunjabei ni msambaziji au mtengenezaji??????
Nauliza?????
Toka lini alikuwa na kiwanda????
Anaejua kiwanda chake kilipo anionyeshe mimi nitawaonyesha HAJI MANARA mweusi.
 
Zaidi y laki mbili na arobaini za kitanzania.

Mara yako ya mwisho kununua jezi ilikua mwaka gani na kwa bei gani?
kwahy unataka kusema kuwa watu M60 TZ hakuna mwenye uwezo wa kununua jezi kwa laki 2? me nilidhani bilion huko hebu punguza dharau kama huna ni huna wewe.
 
kwahy unataka kusema kuwa watu M60 TZ hakuna mwenye uwezo wa kununua jezi kwa laki 2? me nilidhani bilion huko hebu punguza dharau kama huna ni huna wewe.

Ebu tuoneshe jersey ya timu yoyote ambayo unayo ni original (Sio zile wanazo tengeneza wa china then mnaambiwa ni og akat kariakoo jumla zinauzwa 17k) piga picha nembo ya nyuma inakuwa na kod ili tukuelewe kuwa una hela ya kununua jez ya 200k
 
Mbona zile jezi ni nzuri tu na zinaendana kabisa na bei tunazonunulia.
Vunja bei ni muwekezaji nafuu mwenye bei za kizalendo, si sawa kuhojihoji sana maana itamkatisha tamaa.
 
Sasa mmesha kubakia na na hayo miaka nenda rudi 🤔 kisha mnajiona wenye akili🦁nyie
 
Uzi wa real madrid umetangazwa juzi leo kuna maduka hapa mwanza jiji upo tena ule og. Sijui club za bongo na dealers wao wana kwama wapi?????
Hapa bongo ukijitia kihehere kutangaza mapema hivi, kesho wajanja wanazifyatua nyingi zinaanza kuuzwa 10K [emoji1].

Bongo tuko nyuma sana kwenye sheria na usimamizi brands, ni kujitoa akili kujaribu kuilinganisha na ulaya.
 
OG ya madrid unaijua wewe? Uwezo wa kununua jezi OG ya ulaya unao?
Mimi sio huyo uliyemquote ila ninapenda kukushauri kuwa, punguza dharau hapa kwenye anonymity. Kwakua wewe huwezi kutoa 300K kumununua jersey haina maana kuwa watz wote hawawezi.

Mtu humjui unawezaje kuhisi hawezi kununua hiyo jersey? Wabongo bwana[emoji1].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…