Wana Simba njooni tujadili

Jamaaa sijajua hoja yako ni ipi??

Hizi Roho za kitanzania za kwanini Mwenzangu yupo hivi unataka umfanyie ubaya ndio upande wewe.

UNAWEZA KUA BORA BILA KUMSHUSHA MWENZAKO #RIP G-HABASH
 
Ulichokileta wewe ni ishu ya ITC, kasome tena barua ya TFF. Kosa la Yanga ni kukiuka FIFA RSTP. Kama ingekuwa ni ishu ya ITC basi huyo mchezaji hata klabu bingwa asingecheza. Mara ngapi tunasikia wachezaji fulani wameshindwa kucheza mchezo wa klabu bingwa kwavile ITC zao bado? Taarifa za ITC ni data za awali kabisa ambavyo CAF huanza nazo.
 
Barua ipo wazi imeandikwa RSTP na mimi nimemwambia atoe ufafanuzi, pengine atatusaidia wengi kupitia uzi kujua RSTP ni nini.

Nimemuomba atoe ufafanuzi RSTP maanake nini?
RSTP inahusika na vitu gani?
Je kama RSTP haijakamilika mchezaji anakuwa halali au sio halali?
 
Sio najifanya mjuaji bali nataka kujua ndio maana nakuuliza maswali unieleweshe
Barua imeandikwa FIFA RSTP je RSTP ndio ni sawa sawa na ITC? au RSTP inahusisha ITC?
wachezaji wanaosajiliwa kwaajili ya CAF ni lazima wawe na ITC je inawezekana vipi CAF wakubali kusajili wachezaji wasiokuwa na ITC?
 
Nyie futeni ujinga huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shida hamjui hiyo RSTP ni nini.

Kweli uto wenye akili wawili tu.

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.

Hivi mnajua hata hiyo annexe 3 inahusu nini ?

Ficheni huo ujinga kujiona wajuaji kumbe hamjui
 
Sasa mnabisha nini wakati hata hamjui ? Ndio maana hata sikutaka kuingia kiundani nilikwambia toka mwanzo.

Anyway mimi sina muda wa kufundisha vilaza nenda google na chatgpt ipo pia
 
Jamaaa sijajua hoja yako ni ipi??

Hizi Roho za kitanzania za kwanini Mwenzangu yupo hivi unataka umfanyie ubaya ndio upande wewe.

UNAWEZA KUA BORA BILA KUMSHUSHA MWENZAKO #RIP G-HABASH
Swala ni sheria, basi bila hivyo mahakama zisingekuwepo
 
Kushabikia makolo aka Hidaya FC kunaongeza msongo wa mawazo, kunapanua Moyo, kunachosha akili na kunazeesha mwili.
By Prof. Janabi wa Kampala hospital.
 
Kushabikia makolo aka Hidaya FC kunaongeza msongo wa mawazo, kunapanua Moyo, kunachosha akili na kunazeesha mwili.
By Prof. Janabi wa Kampala hospital.
Bora hata wewe umetema pumba unaeleweka hizo ni kejeli, kuliko wengine hapo juu wametema pumba afu wajiona wako sahihi
 
Inamaana hujui tofauti ya Simba na Chura?

Simba anaunguruma, Chura anakoroma. Simba akiwa na njaa anatulia akijiuliza wapi nitapata chakula Chura akiwa na njaa anakoroma, Simba akiwinda akakosa anatulia, anajipanga, Chura akikosa wadudu anakoroma. Simba akiwa kashiba vizuri ananguruma, Chura anakoroma. In short Simba hakoromi, anayekoroma ni chura. Kwa sasa Simba tumepoteza windo, tunatulia, tunausubiri msimu ujao, Chura kashiba anakoroma. Usitake tugeuke vyura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…