MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi.
Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia hata tu Body Language yake inaonyesha ana Jambo linamsumbua.
Na Kinachonishangaza zaidi aliponyang'anywa tu Unahodha kwa sababu ambazo hatukupewa Kiwango chake kilikuwa Juu ila aliporejeshewa tu Kiwango chake kimeanza Kudorora.
Kwa mfano tu kwa Mechi ya jana isingekuwa Juhudi za Luis Miqussoine ( Mchezaji aliyejitoa Kuifia Simba SC ) Beki Tshabalala angetufungisha Simba SC kwani ndiyo aliyekuwa Uchochoro wa AS Vita Club.
Hongereni Simba SC ila namalizia kwa Kuuliza Beki wangu Fundi Mohammed Hussein Tshabalala amekumbwa na tatizo gani?