Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Haahaha Maji nusu lita na karanģa kibakuli aisee Mo kashtuka pesa yake inaliwa na wachumia tumbo
 
Robo sio hatua nzuri??... Hao Horoya wamefika fainali?.. Kweli we chura
 
Hata kama ya MO ndugu,,kwa namna ya mpira wa TZ ulivyo hiyo B.20 inaweza kuisha bila faida yeyote ile..
Hujui maana ya uwekezaji ndio maana unasema itaisha

B 20 inatakiwa izalishe club itakuwa inatumia faida yake

Wanachama wakianza kununua his a zao na zikikamilika ile B 25 nayo inatakiwa izalishe itakachotumia club ni faida yake

Mfano B 20 kwa mwaka itazalisha faida ya B 3.5

B 25 itakuja kuzalisha faida kwa mwaka B 5.5

So club itakuwa na uhakika wa faida inayotokana na hisa kila mwaka ya Billions 9
 
Wakwanza zana, nikimuona kwenye kikosi hamu inaisha ya kuchek gemu...GYAN bado mzuri sema nafas anayopewa inammbana
 
Kotei kitasa kile...achana na hiyo kazi
 
Tunaitaji kupata mabeki, hatar mmoja wa kati, mwingine wa kulia, kiungo mkabaji mmoja, na mshambuliaji mmoja,,,, wawe watu hatari
 
Unaonaje ukiomba kazi ya kuwa unafundisha mifumo.hapo
 
Simba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Waaambie hao uliowataja waanze kudaka nao kama wanaweza
 
Alafu viungo sibaki zile zile redio za mitumba?
 
Wakuachwa: Zana,. Kwasi, juuko, bukaba, mbonde, mzamiru, mo Ibrahim, ndemla, salamba, mkude, kotei, Simba kwa Sasa imeyumba Sana kwenye eneo la kiungo,. Kotei na akina mkude wamefeli kabisa.
Wawa abaki juko aondoke itakuwa umeanza bangi ukubwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…