Waondoe wote abaki niyonzima na rashid juma tu
Utundu atauacha mwanza mkuu.. Simba sio form two, huku soka tuJuma nyangi yupo alliance ni mzuri mara ,7 ya mkude tatizo nidhamu tu
atakua atabadilika ila dogo ana afadhali kubwa kuliko wengi pale sscRashidi juma? Huyu tunayemjua hajui kutuliza mpira, first touch yake hovyo, hawezi ku shoot golini, hawezi kutoa pass,utoto mwingi anachojua ni kukimbia tu
Gyan ni namba 2 fake.. tunahitaji 2 orijinal, na kule mbele hawezi kupata nafasi .Tutafanya kosa kubwa kumuacha nikolas gyan
zimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashakaUlipomtaja nyoni na tshabalala kwamba hawafai sijaendelea kusoma uzi wako
avatar yako inaonyesha tu upo mlongo gani na umeandika haya kwa chuki zako kwa timu flani ,kwa taarifa yako zimbwe ametitwa timu ya taifa na hicho kiwango cha gadiel michael unachokiongelea cjui ni kipi ,punguza mapenzi binafsizimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
mbona ameitwa sasazimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
Manula inahitaji apate mtu tofauti na dida.. mfano Kakolanya ili apumzike kwanzakuna mtu hapa hatumtaji lakini kiukweli manula ni shati hasa kwa mipira ya mbali pia huwa haongei na mabeki wake
kumuita kipa namba moja wa Taifa mbabaishaji ni kuikosea adabu sokaSimba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Gadiel huyu ambae hata kros hajui kupiga au yupi?... bora useme watu kama Bruce Kangwa sio Gadiel.zimbwe jr anakiwango kidogo na akili ndogo ndio maana team ya taifa ataisikia redioni simba kwa pesa iliyonayo inapaswa kuwa na leftback mwenye kiwango angalau cha Gadiel Michael, Erasto ni fatigue tu ubora wake hauna mashaka
Watu hawajui kazi ya KOTEI.. wanataka nae acheze kama Haruna.Kotei kitasa kile...achana na hiyo kazi
we umekula nini kwenye vitu serious unaleta urafiki, marafiki ndio wanalipa mishahara na marupurupu ya wachezaji kila team itaishi kwa kiwango chakeAjibu na Gadiel kutoka timu gani?? Acha kuota.. Hakuna Mchezaji atakayeondoka Yanga kama Zahera anamuhitaji.. Eti Kabunda baba yake kavuja jasho na damu Yanga.. mwenyekiti Yanga Kasema timu inaenda Germany kwa marafiki zake mjipange
mapungufu ya Gadiel ni madogo kuliko Zimbwe Jr na Gadiel anayo experience na exposure kubwa pengine kuliko BruceGadiel huyu ambae hata kros hajui kupiga au yupi?... bora useme watu kama Bruce Kangwa sio Gadiel.
Unamfaham vzr Bruce Kangwa?.. Gadiel anachomzidi Zimbwe Jr ni kutoa mpira nje hata kama hajabanwa.mapungufu ya Gadiel ni madogo kuliko Zimbwe Jr na Gadiel anayo experience na exposure kubwa pengine kuliko Bruce
nakubaliana na wewe lakini sasa gyan amekuwa tofauti na tulipomleta ninavyomtazama tukimrudisha winga atakuwa hatari sanaGyan ni namba 2 fake.. tunahitaji 2 orijinal, na kule mbele hawezi kupata nafasi .
Istoshe Kapombe anarudi.Gyan ni namba 2 fake.. tunahitaji 2 orijinal, na kule mbele hawezi kupata nafasi .
katika mechi hizi chache za viporo alizocheza dida ameonyesha uwezo kuliko manulaManula inahitaji apate mtu tofauti na dida.. mfano Kakolanya ili apumzike kwanza
Hawa watu huwa wanataka Taifa staz adake Kabwili au Kindoki.. hawana jipyakumuita kipa namba moja wa Taifa mbabaishaji ni kuikosea adabu soka
kotei ni invisible haonekani kwa wasiojua soka ila ndiye anayefanya Team imbalance ,muondoe uone team itakavyoelemewaUnajua watu mnaongea sijui kwa kujua mnachoongea ama ni bendera fuata upepo..nataka nikuulize kitu kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa timu...umeshawahi kuona lini toka omog hadi aussems mchezaji Kotei akawa benchi??
Nyie ndio watu msiojua mpira kulaleki ..mnataja wachezaji wa kanzu na tobo uwanjani..mnataka wachezaji wa kurembaremba...
Chama ni. Mzuri ila kotei ni mzuri zaidi...nikiambia nichague yupi wa kumuacha namuacha chama..japo naye ni mzuri kwenye kushambulia..Ila timu ikiwa inashambuliwa ni mzigo...
Tafakari.