NYAMAGANA NJEMA
Member
- Jan 20, 2019
- 47
- 45
Hizi habari za Kahata kusaini miaka mitatu ni za Kweli?
SIYO KWELI KWA MJIBU WA CEO WA KLABUSimba hata wakimtengea 100m haitakuwa hasara,anafaa sana katika succession plan
Simba inaweza kuwa ngazi nzuri ya kuonekana kimataifa. Angekuwa ndugu yangu ningemshauri asaini hata bure ila mkataba uruhusu kutimka mda wowote,kama mkataba wa Kichuya ulivyokuwa
MENEJA WAKE ALIKATAA KUWA ANA OFA NJE TULITAKA TUMNUNUE TUMPELEKE ULAYAKelvin John aka mbappe, huyu bwana mdogo ni super talented!! Sijui benchi la simba huwa halimuoni huyu kijana, ila ngoja tuone usajili umalizike
WADAU NINGESHAURI HUU UZI TUUPELEKE KWENYE THREAD YA SIMBA ILI TUUNENEPESHE ILI ISHU ZOTE ZA SIMBA ZIWE PALE
Tumewaambia wao waokoteze tu,huko mbele tusilaumianeWatani wanadanganywa kuwa "Sibomana" ni bonge la mchezaji hapa rwanda hayuko katika topscorers kabisa
na kwa mujibu wa transfermarket katika michuano 12 aliyocheza amebahatisha goli 2 tu
Patrick Sibomana - Stats by club
This is the overview of the performance data of Police Kibungo player Patrick Sibomana, sorted by clubs.www.transfermarkt.co.uk
wacha wapigwe
huyu jamaa yuko uwanjani toka 2007 tunahitaji mabeki wenye kasi na vijana sioni huyu akitufaaAlonazo taarifa za huyu jamaa Ange Baresi atupe japo dodoso!! Maana nasikia kesha saini simba!!
hahahaha hatari sanaTumewaambia wao waokoteze tu,huko mbele tusilaumiane
Haaaa haaaaa Karia kasema timu (bila kutaja) ziwe makini na usajili zisiokote wachezaji wa laki 5. Yanga wanemtolea tamko,kama vile wameambiwa waohahahaha hatari sana
hahahaaha Afadhali wangeenda mwadui au mbao! hapa rwanda kuna JUULES ULIMWENGU WA RAYON NA HAKIZIMANA WA APR WANGEWAPATA HAO KIDOOGO NINGESHTUKAHaaaa haaaaa Karia kasema timu (bila kutaja) ziwe makini na usajili zisiokote wachezaji wa laki 5. Yanga wanemtolea tamko,kama vile wameambiwa wao
Kabisa.. uunganishwe kuleWADAU NINGESHAURI HUU UZI TUUPELEKE KWENYE THREAD YA SIMBA ILI TUUNENEPESHE ILI ISHU ZOTE ZA SIMBA ZIWE PALE
Ajibu na Gadiel kutoka timu gani?? Acha kuota.. Hakuna Mchezaji atakayeondoka Yanga kama Zahera anamuhitaji.. Eti Kabunda baba yake kavuja jasho na damu Yanga.. mwenyekiti Yanga Kasema timu inaenda Germany kwa marafiki zake mjipange
Ngoja aje abishe tenaNilikuwa sioti, post yangu no 25 kwa kiwango kikubwa imekuwa sahihi, Ajibu, Gadiel na Kakolanya wote sasa ni mali ya Simba
Haaaa haaaaa Karia kasema timu (bila kutaja) ziwe makini na usajili zisiokote wachezaji wa laki 5. Yanga wanemtolea tamko,kama vile wameambiwa wao
Mwanaume unawezaje kusema "kama yoote", hizo swags za kidemu.Utaolewa na wanaume wewe. Mtoto majungu kama yoote.
Atacheza Haji.Simba wamefanya usajili mzuri sana ila kwa wabrazili nasubiri niwaone uwanjani ndio niseme chochote. Upande wa beki wa kulia naona kwenye usajili ndio pananipa wasiwasi kwani naona Kapombe yupo peke yake na ukizingatia majeruhi huwa yanapiga kambi kwake miezi napata wasiwasi sana.
Na Huyo ndiyo mshika tunguri wenu.Emmanuel Okwi katimkia uarabuni... msimu mpya hatuko nae.