Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

Professionals wabaki Chama, Kagere, Okwi, Niyonzima na Gyan. Ila Wawa, Juuko, Zana, Kotei na Kwasi waondoke. Tulete professionals watano tu, Striker 1 aliyewazidi kiwango akina Kagere lakini siyo Tuyisenge wala Chirwa, defensive midfielder moja mrefu aliyemzidi kiwango Mkude, center backs wawili full back right moja kusaidiana na Kapombe. Gyan asogezwe mbele. Locals wapunguzwe Dida, Bukaba, Mbonde, Mo Ibra. Mkopo atolewe Salamba. Locals wapya Ajib, Gadiel, Kabunda, Kakolanya na Maembe. Mkopo kurejeshwa Marcel Kaheza. Gadiel agombee namba na Shabalala, Kakolanya apambane na Manula.
 
Kweli jamaa hayuko vzr kama mwanzo.. mi nahisi game nyingi alizocheza na zakufatana after 2 days.
Yule kiwango chake ni kidogo ashaisha...simba kama wapo serious na uwekezaji kwenye mpira hafai kuendelea kubaki pale
 
yule aliyepigwa kanzu na jamaa wa mazembe taifa ndani ya box. .. akabaki ameduwaa tu asepe kwa kweli
 
Umeua mkuu tena sana.. Ila kwa nini center Midfieder tusichukue wawili(2) wa kigeni ??
Wa kumsaidia Kapombe awe mzawa.. na huyu MAEMBE wa wapi na nafasi gani anacheza?
 
Zana kweli hafai haiwezekani beki awe mzuri kwenye kupandisha timu tu ila timu ikishambuliwa awe anapwaya
Na kwa game hizi zilizobaki sijui wanampanga wa nini.. Ligi iko mwishoni yeye anapaka rangi gozi.
 
Mimi nachotamani kuona msimu ujao ni wachezaji wapya wente uwezo binafsi na wenye uwezo wa kuamua matokeo... Tunahitaji striker mwenye uwezo wa kutafuta mipira kukaa na mipira na kufunga vilevile.
Beki mwenye roho mbaya beki mwenye kutumia akili nyingi na mwenye uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu (Vichwa)
Tunahitaji kiungo mkabaji na mwenye sipidi mwenye uwezo wa kupandisha timu, mwenye pasi za haraka.
Mfumo wetu uwe wa 3:4:3 au 4:3:3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…