Nakubaliana na ushauri wako Kapombe asaidiwe na beki mzawa labda Kimenya wa Prison au mwingine mkali, tulete professionals defensive midfielder wawili. Sorry nilikosea sio Vitalis Maembe Bali Vitalis Mayanga wa ndanda ambaye tayari tunamkataba naye.Umeua mkuu tena sana.. Ila kwa nini center Midfieder tusichukue wawili(2) wa kigeni ??
Wa kumsaidia Kapombe awe mzawa.. na huyu MAEMBE wa wapi na nafasi gani anacheza?
Mzamiru yupo vizuri ila ndemla sina uhakika nae sana....simba inahitaji marekebisho sehemu chache but marekebisho yawe makubwa sana ya wachezaji wakubwa wa kimataifa....sehemu ya ulinzi na kiungo zipewe kipaumbelePoa mkuu.. vipi Mzamiru na Ndemla?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba club ya Simba SC inajiandaa kutumia kiasi cha zaidi ya billions TANO kwa ajili ya kutikisa katika usajili wa Africa msimu ujao
Je ni wachezaji gani tuwape mkono wa kwa heri msimu ujao na kwanini
Mimi naanza
Zana
Salamba
Mo, Ibrahim
Juko
Bukaba
Dida
Mzamiru
Mbonde
Hawa hawastahili kuchezea Simba ya maendeleo msimu ujao
Ongezea na wewe unaoona hawafai
Lakini pia kuna wanaotakiwa kukaa bench maana viwango vyao kwa sasa haviridhishi kwa sasa na msimu ujao bench litawahusu
Zimbwe Jr
Wawa
Kotei
Mlipili
Erasto
Wakimataifa wanaotakiwa kubaki
Kagere
Okwi
Chama
Niyonzima
Wengine watuachie team yetu
Huu ni mtazamo wangu
View attachment 1094171View attachment 1094173
Cjataja jina la mtu umenielewa vibaya ni kwa yeyote jmn.Akikupa link nami nipe dm nijoin
Kuna wazawa watabaki lakini kwa usajili wa mapro unaoenda kufanyika wengi wanaocheza sasa kikosi cha kwanza wataishia benchPoa mkuu.. vipi Mzamiru na Ndemla?
Uzi uko wazi mkuu na wewe utajeApo kwa mzamiru umepotea
Kiwango mzee, kumbuka mbonde ni majeraha, hao wengine viwango vyao sio vya kucheza simba ya maendeleoSimba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Timu sehemu salama ya kucheza mpira tanzania ni ipi???...wakina samatta kwani walipitia ombaomba fc??Simba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
[emoji23][emoji23]Uzeni na timu kabisa
Tamaa mmezidi mkuu! Kwasi na Salamba tuliwataka, kwa kuwa mna mawe mkawadaka! Mmeshauwa vipaji vyao sasa hamuwataki!Kiwango mzee, kumbuka mbonde ni majeraha, hao wengine viwango vyao sio vya kucheza simba ya maendeleo
Kabisa mkuuMzamiru yupo vizuri ila ndemla sina uhakika nae sana....simba inahitaji marekebisho sehemu chache but marekebisho yawe makubwa sana ya wachezaji wakubwa wa kimataifa....sehemu ya ulinzi na kiungo zipewe kipaumbele
Ni sawa ilimradi wakizi mahitaji yetuKuna wazawa watabaki lakini kwa usajili wa mapro unaoenda kufanyika wengi wanaocheza sasa kikosi cha kwanza wataishia bench
Mkuu Manula akija yanga atacheza nafasi ya Fei toto?Simba ni sehemu salama ya kuua vipaji vya wachezaji! Daah yaan jembe kama Mbonde ndio lishapotea! Kwasi, Mo, Salamba, Mlipili ..........Then mbabaishaji kama Manula eti anacheza!
Hakuna ubishi kocha ndio mwamuzi.. haya ni maoni yetu mashabiki wala sio sheria.Mashabiki wa soka Tanzania ndio upeo wetu aisee..hapo watu wanatoa mapemdekezo as if wanachangiaga pesa za usajili..unakuta jitu lipo hapa na hata kuchangia timu kwa kuingia uwanjani haliwezi..Nazi kutoa mapendekezo..unakuta hata wengine hawanunui jezi orijino hawanunui..
Alafu hizi ni story za abunuasi aisee..kocha ndie mwenye wachezaji ...atatoa mapendekzo yatafanyiwa kazi...
Mkuu mwambie kweli simba inaua vipaji ndo mana iliua mpaka cha samatta ndo mana amefika alipo leoMkuu Manula akija yanga atacheza nafasi ya Fei toto?
Usipopambana kupata namba unapotea.. Simba sio timu ya mama yao eti wacheze kiholela tu.
Kumbe mliwataka waje kucheza ndondo au ridhaa?.. Mbona hawajazeeka chukueni , kwani BOBAN + NGASA wamekuja kufua kiwango jangwani.?Tamaa mmezidi mkuu! Kwasi na Salamba tuliwataka, kwa kuwa mna mawe mkawadaka! Mmeshauwa vipaji vyao sasa hamuwataki!
Mkuu ukiangalia kwa makini Ngasa na Boban ni kama tumeinua viwango vyao ukilinganisha na walivyokuwa kabla ya kujiunga Yanga msimu uliopita!Kumbe mliwataka waje kucheza ndondo au ridhaa?.. Mbona hawajazeeka chukueni , kwani BOBAN + NGASA wamekuja kufua kiwango jangwani.?