Mkianza kutunguliwa pale Taifa msizimie,maana mnajifanya wajuaji sana,eti haji anawadanganya mnaweza cheza na Psg, man city nanyinyi mnachekelea kama mazuzu......Huyu haji anajitafutia umaarufu wa kugombea ubunge na si kwa maslahi ya Simba
Kuloanisha kunafuatilia na ulijiandaa kwa 167% kuwa utapata matokeo gani, na je, watu watakuonaje baada ya kutamba kupita kiasi kuwa utapata matokeo chanya.