Wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums nawaomba tupige Kura katika hili ili tuujue Ukweli na kabla ya Kuchapana Bakora tulijue tatizo liko wapi sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya chagua jibu moja tu sahihi je, unadhani kwa 100% Matatizo ya Simba SC yanamhusu nani hasa kati ya wafuatao?

a. Kocha Mihasira Benchika
b. Tajiri Mwekezaji Muongo Muongo
c. Mwana Yanga SC Mangungu na mwana Simba SC, ila Rafiki mkubwa wa GSM Abdallah Mhene Try Again
d. Wachezaji wasio wa Kiushindani wa Simba SC

Haya kila mwana Simba SC aje hapa apige Kura yake ili tunapojiandaa Kuchapana Bakora tujue tunaanza na nani Okay?
 
hapo naona simba yenyewe yote ni yanga bora tuhamie azam kabisa tu
 
C, c, c, c, c, c, c, c, c, c, c, c......
 
Ww ndo wakulaumiwa unapiga mikelele mitandaoni KADI ya uanachama huna wakati wa uchaguzi vilaza wanachaguliwa nyie mnaopiga kelele Jf hamna vigezo vya kupiga kura,
 
Back
Top Bottom