GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini tena Mkuu?Bakora tunaanza kukuchapa kwanza wewe
hapo naona simba yenyewe yote ni yanga bora tuhamie azam kabisa tuHaya chagua jibu moja tu sahihi je, unadhani kwa 100% Matatizo ya Simba SC yanamhusu nani hasa kati ya wafuatao?
a. Kocha Mihasira Benchika
b. Tajiri Mwekezaji Muongo Muongo
c. Mwana Yanga SC Mangungu na mwana Simba SC, ila Rafiki mkubwa wa GSM Abdallah Mhene Try Again
d. Wachezaji wasio wa Kiushindani wa Simba SC
Haya kila mwana Simba SC aje hapa apige Kura yake ili tunapojiandaa Kuchapana Bakora tujue tunaanza na nani Okay?
Daaah i didn't expect reply kama hii kumbe kuna mda unakuaga mpole hivi Mtani?😁😁Kwanini tena Mkuu?
Kwa sababu ya akili zako mbovu za kushindwa kutambua ubovu wa Simba toka msimu unaanza na kutwa kucha kuisifia Simba kuwa ni bora kuliko Yanga.Kwanini tena Mkuu?