Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

duuh Sawa sawa Mnajimu wa Kimataifa.
 

Mkuu kama bajeti ipo si wakodi helkopta tu kushney
 
Hamna lolote hakuna uchawi kwenye mpira ingekua hivyo tungechukua world cup, tunaacha kuanzisha academy za kisasa tunaamini uchawi kwa hali hiyo hatuwezi kufanikiwa kwenye mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba tutakavyokuwa lakini Ndala hawatupi shida sana katika kufanya uharifu pale bondeni

This is Simba.. Slogan [emoji123] [emoji123]
 
Kweli mkuu , jana wamecheza na mlandege yaani walichokuwa wanakicheza hakieleweki kabisa..
 
Yanga tunawapiga zaidi ya goli mbili

Mechi ya mlandege amecheza popoma mavugo..mnamjua hanaga impact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…