Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

Mechi ya Simba na Yanga "hainaga" uzuri wa mafowzrd wala uzuri wa mabeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Sasa huo ni mpira au ni mapigano pale Mogadishu, Somalia

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Issue sio ndumba mkuu... Kaa chini ukitathmini kikosi cha Simba kama mwanasoka, achana na mambo ya usimba na uyanga... Usajili nzr wa Simba ni wa golkipa Manula na Niyonzima bhaaassss.... Nikuhakikishie Bocco na Okwi kwa sasa wamechoka, utakataa lakini ndio ukweli huo! Kikosi cha Simba ni cha kawaida saaaana.... MO Ibrahim ataibeba team kuliko mchezaji mwingine yeyote ndani ya club.... Mimi huwa kipindi hiki cha usajili sinunuagi magazeti, yanapoteza watu,... Ni upepo wa matangazo ya Simba na mbinu ya viongozi wa Simba kuwasahaulisha rufaa yao tu, lakini hamna jipya... Bora Blagnon kuliko Bocco...

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Bado sijafikiria kabisa kuja kufanya UPOPOMA huo Mkuu. Kama vipi tufungwe tu kwani vepeeeee!!!!!!!
Kumbe goli la kichuya lile, hakua mwenyewe kichuya pale.. Jini mkata upepo ndo anashughulika nayo yale magoli... Hahahaaah, mpira wa bongo bhana....

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 

ndio maana sijawahi kuamini katika ushirikina tangu nianze kuujua...

ushirikina ungekuwa unafanya kazi basi sumbawanga na tanga kungekuwa na klabu bora kabisa ligikuu..
Ushirikina bila team bora, hakuna kitu kama hicho...

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Hahahaah ni kweli uchawi upo ila sio muumini wake kila la heri wa matopeni fc
 
1...Kabwili
2...Juma Abdul
3....Gadiel Michael
4.....Ninja
5....Yondani
6...Pato
7....Yahaya
8...kamusoko
9.....Ngoma
10....Tambwe
11....Ajib

Anayetengeneza combination ya ACID ana majeruhi......
A... Amis Tambwe
C... Chirwa
I.... Ibrahim
D... Donal Ngoma

Ndumba ya Kazi gani sasa!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Kwa nn tusiloge timu zetu zikachukua club bingwa tukienda ni kichapo tu

phantom 6 plus
 
Jamani kamakuna uwezekano wa hii technolojia ya utamaduni wa kitanzania kwa nini mdau usitumike kwenye timu yetu ya taifa tukaenda kombe la dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…