Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

Mechi za Simba na Yanga ni uchawi tu. Nilikuwa nabisha sana zamani lkn kuna siku kwa macho yangu nikaona mpaka kesho huwa naamini game za Simba n Yanga ni kiini macho tu.
 
Naona goli la tako na sio mkono tena! Genta nilijua umeshajiunga na Yanga kumbe bado unawanga, isee kwa beki ya Yanga simba inashinda. Hata huyo kibabu akae golini.
 
Mimi Simba mwenzenu pia lakini jana nimeota tunapigwa 1-0 ....mbaya kweli ..
 
Hahahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nimecheka sana
Simba atashinda tu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hamna kitu huyu si alijifanya mrundi katoka kijiji kimoja na Haruna !
Wangekuwa na uwezo huo si wangeshakuwa mabingwa wa afrika au waloge ili manji atoke !!
Kamati zenu huko huko ss tunataka mabadiliko na kuendesha timu kisasa
 
Hahaha aaahaaa, kikiunatafuta unajua kwa nn mayanja aondokagi pale nahis ujui na icho ulichopost niseme " harakat za pimbi" simba nguvu moja......!!!!!! [emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Ni kwamba hii mechi tumeicheza muda mrefu ila ni bahati mbaya sana kwamba Watani zetu Yanga FC ' wameshatutega ' sehemu mbili kwanza Bandarini Dar na pale Bandarini Zanzibar ( Watu wa mpira hapa najua mtanielewa )...


Mkuu GENTAMYCINE, naomba uje utoe ufafanuzi tena, maana Simba wanarejea Dar bila kupita katika bandari hizo


 
Hamna kitu huyu si alijifanya mrundi katoka kijiji kimoja na Haruna !
Wangekuwa na uwezo huo si wangeshakuwa mabingwa wa afrika au waloge ili manji atoke !!
Kamati zenu huko huko ss tunataka mabadiliko na kuendesha timu kisasa
Naona tunachekana kwa Manji kuwa ndani ya selo lakini kumbukeni hata Aveva et al. wote wako ndani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…