Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

Hivi si nilishawaambieni huko nyuma nilipokuja humu JF na hili neno la POPOMA kuwa Mimi niliyelileta sitakiwi kuitwa nalo? Kwahiyo na Mimi GENTAMYCINE leo nimekuwa POPOMA? Hebu nitake radhi upesi Mkuu au tengua haraka Kauli yako hiyo.
MPWA NAHISI WANATAKA
KUKUTOA MHANGA KATAA KABISA HILO NENO
 
Mkuu GENTAMYCINE, naomba uje utoe ufafanuzi tena, maana Simba wanarejea Dar bila kupita katika bandari hizo


View attachment 571427
HAhahaaa kupitaa utaalaamu yakinifu jamaa wamegonga kote bandarini na airporr

Nenda soma juu kipengele cha bandari dar na bandari znz(watu....)..nikwamba hapo labda mpande treni ya znz dar .ila aiport na bandarini kote kazi imeisha
 
Naona tunachekana kwa Manji kuwa ndani ya selo lakini kumbukeni hata Aveva et al. wote wako ndani pia.
Tofauti ni kwamba wa upande mmoja alikuwa kiongozi na mfadhili, ila wa upande mwingine alikuwa kiongozi tu.
 
HAhahaaa kupitaa utaalaamu yakinifu jamaa wamegonga kote bandarini na airporr

Nenda soma juu kipengele cha bandari dar na bandari znz(watu....)..nikwamba hapo labda mpande treni ya znz dar .ila aiport na bandarini kote kazi imeisha
Du ww jamaa umenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du ww jamaa umenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Labdaa niwasaidie
Simba mpaka wanafika airport wamefungwa kamoja...wakategewa pale vip...walichojichangany wakauzwa na mtu wasipite norma gate ..hahahaaaaaaa pale tukaongeza bao mbili ila kwa makubaliano ya kufungwa moja

Wanamahesabu ukichukua la znz na la VIP..Unaweza jua simba anakula ngapi leo
1-0
2-1
Nipe total...napita tukutane ....uwanjani

RIP ALI YANGA
 
Nasubiri kwa hamu kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…