Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

ACHA UONGO, EEEEH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ramli imeshindwa safari hii? Ha ha ha ha.
Kwa waislam ni haram kutazamia na kucheza kamari. Naona kutazamia na kamari safari hii imebuma.
 
Me niliwambia ua naoteshwa usiku wa mechi ya watani lakini gongowazi waliishia kunitukana na uzi wangu ukaondolewa siku nyingine nitawapa matokeo ya iyo mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Banyamulenge aka chura njoo basi utupe tena utabiri wako uchwara....!!! wee chura tena wa miguu 3...

 
Tabiri zako za uongo sana mkuu... hukupazia hata kitu kimoja aiseeH
 
Banyamulenge aka chura njoo basi utupe tena utabiri wako uchwara....!!! wee chura tena wa miguu 3...

Kama nilivyowajibu wenzako nakuomba na Wewe pia usome post yangu # 141 ina majibu yako yanayokufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…