Wana Simba tunaongea sana kiasi kwamba ni kama tunawafanya wapinzani washtuke

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.

Nashauri ijapo tumechelewa sana,ni bora kuwa wapole tu. Unless tunalenga kupata mapato tu.

Hizi mechi zenyewe utakuta hawa jamaa walishasajili wachawi wote maana timu ina tawi hadi gamboshi unatarajia nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mi nafikiri Bora muongee Sasa maana kesho baada ya mechi mnaweza kujikuta hamuongei au mna lalamika tu.
Mmepata nafasi ya kuongea itumieni Sasa.
 
Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.

Nashauri ijapo tumechelewa sana,ni bora kuwa wapole tu. Unless tunalenga kupata mapato tu.

Hizi mechi zenyewe utakuta hawa jamaa walishasajili wachawi wote maana timu ina tawi hadi gamboshi unatarajia nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
UTO Nyie wapumbavu sana... acheni kujifananisha na simba sio leval zenu.. sema tunatumia muda mwingi kujibishana na nyie kwa sababu ya ujirani wetu wa Kariakoo mjini vs jangwani mbugani.... la sivyo nyie ni kunguru tu!!
 
Facts checking... Hebu nitajie Mambo matano ambayo simba yanayomfanya Simba asiwe level za yanga, au ndio ule wimbo wa tumefika robo fainal ya CAF?. Usipotaka basi wewe ni afande miraji wa zenji😅😅
 
Unajua kelele zinaweza kufanya mambo mawili, eidha kuwapa kiwewe, ama kuwafanya imara zaidi.

Nashauri ijapo tumechelewa sana,ni bora kuwa wapole tu. Unless tunalenga kupata mapato tu.

Hizi mechi zenyewe utakuta hawa jamaa walishasajili wachawi wote maana timu ina tawi hadi gamboshi unatarajia nini?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nyie UTO tulieni, mshaingia kwenye mfumo tulieni dawa iwaingie.
 
Semaji la CAF amewaita UTOPOLO maiti, hii dhambi itatutafuna muda mrefu alafu nikikumbuka tuliingia na jeneza kwenye Simba Day, yaani ni matatizo matupu.

Nikikumbuka awamu iliyopita walimkebei mgombea Urais kupitia CHADEMA kwamba ni mgonjwa, yule mpiga pushapu alikuwa akionyesha yeye anayo afya nzuri kuliko mgonjwa Lowassa, aisee.

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
 
Back
Top Bottom